Single Button Three Pieces zinapatikana Kwa Rangi Tofauti Tofauti na size Tofauti pia.
Material ni nzurii, haipauki, kitambaa kizito. Unaweza kuvalia Kwa Shati aina yoyote ndani.
Ni nzurii Kwa maharusi, kanisani na Kwa ofisini pi.